Bakwata Yazungumzia Kuandama Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani

BAKWATA Yazungumzia Kuandama Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Download Cepat Dengan Aplikasi

Name:BAKWATA Yazungumzia Kuandama Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Genre:Unknown
Date:13 June 2018
Duration:00:06:12
View:2.8K
Like:8
Dis Like:5
Type:Youtube to Mp3
Bitrate:128kbps
User:Global TV Online
Source:Youtube

BAKWATA Yazungumzia Kuandama Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kupitia kwa Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu yake, Sheikh Khamis Mataka, amesema kamati ya ufuatiliaji wa mwandamo wa mwezi ndiyo yenye mamlaka ya kuutangaza.

Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisi za BAKWATA jijini Dar es Salaam, Mataka amesema kuwa kesho Alhamisi Juni 29 ni siku ambayo mwezi utafuatiliwa, na ametaka umma wa Kiislamu kufuatilia na atakayeuona atoe taarifa kwa shehe wake au imamu wa msikiti wake ili mamlaka zinazohusika na kuutangaza ziweze kuujuza umma.

Pamoja na hayo amewataka Waislam kutopotosha taarifa za mwandamo wa mwezi ili kuondoa taharuki kwa umma.

Pia amesema kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Shekh Abubakari Zubeir, amemshukuru Rais Magufuli kwa ziara yake ya jana ya kushtukiza katika ofisi za BAKWATA na kuhamasisha ujenzi wa msikiti wa baraza hilo ambapo alitoa mchango wake wa shilingi milion 10 ili kukamilisha ujenzi huo.

Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari Visit http://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: http://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis...


Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Google+

Related Posts: